Ahahaha mpaka uandike tu comment ushadakwa.....yani umeandika sijui lugh ua mtaani na sijui niite kiswahili au nini hii....story kali ilanimpungu makali kidogo......sasa tupe mrejesho umekamatwa au.....na cha muhimu umekula kitu mpaka ukachoka ahahah