B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,143 Reaction score 10,859 Feb 12, 2018 #1 Usiombe kukutana na Bibi Pepsi..!
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Feb 12, 2018 #3 kwa hiyo
gnassingbe JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 4,826 Reaction score 3,585 Feb 12, 2018 #4 Mmmh!Thirty years is at your door step!
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 4,712 Reaction score 11,991 Feb 12, 2018 #5 BEHOLD said: Usiombe kukutana na Bibi Pepsi..! View attachment 694711 Click to expand... Alafu ndani kekunduu...
BEHOLD said: Usiombe kukutana na Bibi Pepsi..! View attachment 694711 Click to expand... Alafu ndani kekunduu...
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Feb 13, 2018 #6 Ha ....
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,355 Feb 13, 2018 #7 Dah, ndo nimenyooshewa kidole na watu wawili au? Baraka za Mwenyezi Mungu! Ila kwenye sura, muonekano wake ni kama walimnyima skonsi asubuhi. 😀
Dah, ndo nimenyooshewa kidole na watu wawili au? Baraka za Mwenyezi Mungu! Ila kwenye sura, muonekano wake ni kama walimnyima skonsi asubuhi. 😀
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,307 Feb 13, 2018 #8 Huyu ndo msichana wa kiafrika hasa ila akitembea Dar, atakamatwa kuwa anadhalilisha uafrika. Siku hizi uafrika sharti uvae kama mwarabu nguo mpaka miguuni na kufunika vichwa. Turudie ya kale labda na ubakaji utapungua.
Huyu ndo msichana wa kiafrika hasa ila akitembea Dar, atakamatwa kuwa anadhalilisha uafrika. Siku hizi uafrika sharti uvae kama mwarabu nguo mpaka miguuni na kufunika vichwa. Turudie ya kale labda na ubakaji utapungua.