nimeshangazwa leo,help me wakuu

nimeshangazwa leo,help me wakuu

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
910
Reaction score
625
wakuu leo katika pitapita nikakuta cmu samsung s duos et inauzwa 110,000Tshs bac nilishtuka kidogo nikauliza ni mchina nikajibiwa n original na kuna box lake imeandikwa 24months warranty.Je ni kwel hiyo cmu original au ndo mchina ila nataka ingizwa mjin?:help:
 
original 12months warranty, kwahiyo kuwa mwangalifu .nimeiuza ya kwangu mwezi mmoja uliopita kwa sh300000. madukani zinauzwa 500000 - 400000.
 
Back
Top Bottom