allydasmartboy
Member
- Jul 14, 2018
- 36
- 7
CODE WANATUMIWA WALE WALIOPATA CHUO ZAIDI YA KIMOJA SO JE WEWE NI MMOJA WAPO WA MULTIPLE?Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
Ndio maaana yake ndio maana nimekuambia nimeshata tamaaCODE WANATUMIWA WALE WALIOPATA CHUO ZAIDI YA KIMOJA SO JE WEWE NI MMOJA WAPO WA MULTIPLE?
Hahahhaha!nimecheka sana kijana yani unakata tamaa kwakutotumiwa code?upo serious kweli?eti uombe chuo cha private kisa umekosa code uanafikili tcu wapo kwa ajili ya kucheza pale kama unavyofikilia nn?unapo patwa na shida jaribu kuomba ushauli nn ufanye sio kukimbilia kukata tamaa,apo hujaenda chuo sasa je ukifiachuo ukakutana na changamoto za huko siutaomba uludi kwenu sasa?Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
Pole mkuu.Ndio maaana yake ndio maana nimekuambia nimeshata tamaa
Angalia hapo kijana inaweza kukupa muongozo kidogoMpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu jamani naombeni msaada nifanye nini me
tcu waache usumbufu. wale wenye multiple admission waachwe waende wakajisajiri vyuo wavipendavyo. tcu wasubiri majina ya walioripoti chuoni ili wayatume loan board. hayo mengine ni mbwembwe....
Shida ipo kwenye mkopo sasa watajuwaje wanafunzi yupo chuo gani ili allocation yake ijulikanwe inaenda chuo gan?tcu waache usumbufu. wale wenye multiple admission waachwe waende wakajisajiri vyuo wavipendavyo. tcu wasubiri majina ya walioripoti chuoni ili wayatume loan board. hayo mengine ni mbwembwe....
Ukikosa mkopo usilalamike[emoji1] [emoji1] [emoji1]tcu waache usumbufu. wale wenye multiple admission waachwe waende wakajisajiri vyuo wavipendavyo. tcu wasubiri majina ya walioripoti chuoni ili wayatume loan board. hayo mengine ni mbwembwe....