Wadau wa IT naombeni msaada wenu tafadhali nimesahau password na PIN ya pc yangu...naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi ili niweze ku unlock tafadhali
N.B PC NI YANGU WALA SIYO YA WIZI
Wadau wa IT naombeni msaada wenu tafadhali nimesahau password na PIN ya pc yangu...naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi ili niweze ku unlock tafadhali
N.B PC NI YANGU WALA SIYO YA WIZI
Unaweza tumia software inaitwa lazersoft unaweza i burn kwa cd ama kufanya bootable kwa thumbdrive then fanya process kama unavo install windows....thank me later
kama kuna email ID yako connected lazima uandike password ya iyo email id ndo itafunguka au kama ni local account ya kawaida tu mie naweza ku unlock ndani ya dakika 5 tu!