Nimesahau password ya laptop yangu

Nimesahau password ya laptop yangu

kuna program zipo maalum,kwa kazi hii nimesahau jina lake ngoja nijaribu kugoogle nikipata nitakupa feedback
 
Mkuu AllenMwita
cku nyingine unapokua na shda jfanye mjinga 2 ndo utapa msaada sasa hv ndvyo jf ilvyo,
naona hapa watu wanakutilia shaka,
nawe unaleta majbu ya #dharau
umesahau kufunka kombe mwanaharam apte!,
Can you Imagine laptop unatumia kila cku then one day you forget your pswd With no reasons?,
ulpata ajal ya mshtuko wa ubongo au kitu gan kilsababsha ukasahau pswd.
Teh teh teh
sayay theComputerGUY
 
Last edited by a moderator:

Naona huyo jamaa alipigwa chini na kadent ndo maana akapagawa mpaka akasahau password yake.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu AllenMwita
cku nyingine unapokua na shda jfanye mjinga 2 ndo utapa msaada sasa hv ndvyo jf ilvyo,
naona hapa watu wanakutilia shaka,
nawe unaleta majbu ya #dharau
umesahau kufunka kombe mwanaharam apte!,
Can you Imagine laptop unatumia kila cku then one day you forget your pswd With no reasons?,
ulpata ajal ya mshtuko wa ubongo au kitu gan kilsababsha ukasahau pswd.
Teh teh teh
sayay theComputerGUY

ndio mara yangu ya kwanza kumiliki laptop na niliweka password juz ila nimeisahau.Ahsante kwa maneno yako ya busara.
 
Last edited by a moderator:
Kama una ushauri mpe kama hauna kaa kimya......kuropoka haipendezi jaman...kueni na busara japo kidogo
 
Sio kuropoka unaweza kukuta unamsaidia mtu kuiba data za watu
jambo ambalo sio zuri, mimi huwa nakutana na watu wengi ambao
wanaleta Laptop ambazo nahisi ni za wizi na zinakuwa na psword
kwa kuwa sipendi vitu vya wizi huwa nawakatalia.
 
kwani wakikuletea si wanakulipa au wanataka uwatolee bure
 
Mkuu AllenMwita
cku nyingine unapokua na shda jfanye mjinga 2 ndo utapa msaada sasa hv ndvyo jf ilvyo,
naona hapa watu wanakutilia shaka,
nawe unaleta majbu ya #dharau
umesahau kufunka kombe mwanaharam apte!,
Can you Imagine laptop unatumia kila cku then one day you forget your pswd With no reasons?,
ulpata ajal ya mshtuko wa ubongo au kitu gan kilsababsha ukasahau pswd.
Teh teh teh
sayay theComputerGUY

xana mkuu japo wote wana makosa lakin ni vema at least kupretend ustaarabu japo kidogo ukiwa ktk kundi la watu cz bnadam wote vchaa xo kamaunaona mwenzio kapanda we jishushe yeye ndo ataonekana mjinga hiyo tabia ife wakubwa kuna watu wanaheshima zao humu yaani ni kma baba zetu xo mkionyesha taia hzo hata haipendezi wakubwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom