asante mkuu Jana nilijaribu wakalenitumia hizo code nikaingiza na kufuata maelekezo kulikua na maelezo yanasema reset password nikafanya hivo na wakanijibu tatizo limetatuliwa ila nikiingia inagoma na kusema nimekosea password.Ingia kwa app yako click reset kiko kimejificha cha blue
Utaletewa sehemu ya email au phone number uliyosajilia
Ingiza namba za simu then watakutumia one time pin
Ziingize then endelea
Repeat process nzima na weka a very simplest password then kaingie namba ya simu iwe mfumo huu 2557..........