Mdada na mkaka walikuwa wanapita
madukani, si mdada akakiona kiatu
kimoja kizuri, bei alfu stini.
MDADA: Mdada mweee kiatu kizuri
ningekuwa sijasahau hela nyumbani
ningekinunua, ninunulie jamani
MKAKA:Chukua hii alfu tano, kodi taxi
ukachukue hela yako sweety
nakusubiri hapahapa..!!