nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 10,687
- 9,869
Hakikisha kila siku unahifadhi fedha..(kuweka akiba_
Baada ya kufanya ujasriamalai wako
Kwa mfano wachoma mahindi kila siku waficha sh 12500xsiku 30=375,000
375,000x miezi 4=1,500,000...pesa hii unaweza kufanya biashara ingine ya kiwango cha juu kuliko unavyofikiri.
(hapa itategemea moyo wako wataka nini)
KWA UPANDE WA TRANSPORT.
nunua bodaboda daily ficha sh.20,000....kama kuna inayozidi weka pembeni kwa ajili ya service na kula na mambo mengine.
20,000x30(mwezi)=600,000
kwa mwaka utakuwa na sh.7,200,000
Hapa nunu bajaj na chenji inabaki......
Boda boda mpe dereva kwa mkataba wa 70,000 kwa wiki na baada ya mwaka unamuachia iwe yake.
=280,000x12=3,360,000
wakati huo huo wewe utakuwa unakomaa na bajaj na kuficha sh 35,000 deileex30=1050000x12=12,600,000+3,360,000=15,596,000......hapa waweza nunua noaha mpya ukaanza kusafiri mbali na makampuni kwa miktaba na kula vichwa.
karibu kwa maoni mbadala