vinakamata hapa DSM tu. Ila ni vingamuzi vizuri sana kwani local zote zipo tena clear na chanel nyingi nyinginezo za habari mf. cnn, bbc,aljazeera, cctv. Channel za dini ipo-Emmanuel ya nigeria[wakiristo] na Peace tv[waislam]easy tv yaweza tumika mikoani?
vinakamata hapa DSM tu. Ila ni vingamuzi vizuri sana kwani local zote zipo tena clear na chanel nyingi nyinginezo za habari mf. cnn, bbc,aljazeera, cctv. Channel za dini ipo-Emmanuel ya nigeria[wakiristo] na Peace tv[waislam]
wewe kuwa wakala
Unampigia ajenti unampa smart card number na unamtumia vocha ya buku kumi mtandao wowote anaactivate
Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[tz]zote. Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza vocha zao. Nimehamia kigamboni hakuna mawakala kabisa. Nawashauri uongozi kama wanapita huku wasambaze mawakala kila kona kama walivyofanya star time. La sivyo tutawakimbia.
Ukiondoa DSTV, EASY ndo king'amuzi kizuri kuliko vyote.
Yap hata mimi nafanya hivyo .kwanza huwa naona mzunguko wa kuingiza ile kadi. Ninachokifanya kuna ofisi kariakoo nimewapa no yangu wao wamesave jina langu kwa kutumia smart card no yangu. Ninapowatumia pesa kwa njia ya mtandao moja kwa moja wananiwekea.
Mkuu, kujiunga nao inagharimu bei gani, niko na hawa star times naona ni pasua kichwa.
Laki na kumi kwa ajili ya receiver,waya,antena, malipo ya mwezi mmoja na ufundi. Gharama yako ni kumlipia nauli fundi hadi unakoishi
Asante comrade, vipi kuhusu monthly subscription.
Elfu tisa kwa mwezi
Vipi hii kitu ina zile code kama za Startimes ambazo zinakupatia channel 13 for free?Ukiondoa DSTV, EASY ndo king'amuzi kizuri kuliko vyote.
vinakamata hapa dsm tu. Ila ni vingamuzi vizuri sana kwani local zote zipo tena clear na chanel nyingi nyinginezo za habari mf. Cnn, bbc,aljazeera, cctv. Channel za dini ipo-emmanuel ya nigeria[wakiristo] na peace tv[waislam]