assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Ni ukweli urais ni kazi ngumu sana Na raisi Mara nyingi ameomba aombewe. Mimi Na mshauri mheshimiwa ajiuzulu kwa sababu zifuatazo:
1) naona suala la Tanzania ya viwanda ni agenda nzuri Na ingetatua suala la ajira. mpaka muda huu kiukweli bado Hali ni tete. viwanda vilivoanza kazi ni vichache Na hatuoni sera Bora za kuwavutia wawekezaji
2) Hali Bora za watumishi bado ni kitendawili. posho,semina zimefyekwa Na mshahara uleule aliouacha kikwete. nauliza tangia umeingia lipi kuhusu wafanyakazi limeboreshwa. saivi kuna mfumuko WA bei mshahara uleule mbn twafaa. tunachopata wafanyakazi ni kutishwa,kubanwa Na sometimes kufukuzwa je ilani ya chama ndio inavosema.
3) elimu ya juu ni janga kubwa. watoto WA maskin wamekwama. ahadi ilikuwa yeyote atakaefaulu atapt mkopo sasa Leo TCU inasema itafyeka mwanafunzi 8000 elimu ya juu, twafaa!
4)kuhusu bodaboda,machinga,mama ntilie kutosumbuliwa,hapa tumeona mkanganyiko hatari. Leo tamko hili kesho mabomu,kesho kutwa tamko why? hakuna utaratibu ni kutamka Na kuagiza rejea suala la machinga mwanza + dar.
5)utawala WA kidemokrasia unakaribia kupotea. tunapaswa turuhusu demokrasia ili tijireflect. hatupaswi kuogopa kukosolewa ili tujirekebishe.
6) last but not the least ni kuhusu Sheria ya mitandao ambayo imetufanya tuwe bubu.
mbn mwinyi alichorwa chuo kikuu lakini mwanafunzi hawakushtakiwa
mbn kikwete alieambiwa ati ni Rais dhaifu mbn hakushtaki MTU
sasa raisi Hii Sheria iangaliwe vinginevo twafaa.
7) mahakama ya mafisadi hakujafurika kesi wakati tunaambiwa kuna mafisadi wengi mbn km tunajicontradict. wapo watu wengi ni watuhumiwa HT mtaani tunajua hawajaitwa kwa uchunguzi .makonda ndio alithubutu kuhusu ngada
Ushauri wangu kwa raisi badala ya kumuombea sana pia suala la kujiuzulu sio baya mambo yakiwa magumu