Nimepoteza password ya email

Nimepoteza password ya email

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,819
Nimepoteza password ya email, nimejaribu kutafuta nikaambiwa niweke namba ya Simu niliyoitumia kipindi nafungua email bahati mbaya namba pia nimeisahau.

Naomba msaada kwa wajuzi nifanyeje?
 
Jaribu namba zako za simu unazohisi .
Jaribu kuwa na namba ya simu moja ambayo ni official ambayo hutaisahau .
 
Nimepoteza password ya email, nimejaribu kutafuta nikaambiwa niweke namba ya Simu niliyoitumia kipindi nafungua email bahati mbaya namba pia nimeisahau.

Naomba msaada kwa wajuzi nifanyeje?
Kifupi, unataka kuingia kwenye account ya mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom