Nimepoteza msisimko wa mapenzi

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
2,914
Reaction score
3,022
Tangu ni fanikiwe Ku move on jaman najiona nimebadilika sana sina mzuka wa mapenzi kabsaaa yaan Niko wa baridi sana kwanzia moyoni sina feelings na mtu yeyote ..

Ata nkikutana na mtu wangu sitaki ata anisogelee nakeleka sitaki ata romance ata sex siinjoy wala siiwazi tena...
Afu Niko mkavu jaman ivi nifanyeje feelings ziludi maana nmetoka nje ya mstari kabsaa ata sex mpka tutumie vilainishi ndo tufanikishe zoezi. ..
Msaada wenu jaman nimepoteza nyege zangu..
 
Ukavu wako ni kwa sababu umetumika sana hadi ute umekauka mwilini.

Tulia kwa miezi 6 uupe mwili nafasi ya kutengeneza ute mwingine, wakati huo uwe unakula mlenda na vitu vya kuteleza.
Hahahah mkuu umenifurahisha sio kwamba nimetumika noo nikwamba sina hisia kabsa ....na mtu yeyote ata ukinigusa si feel chochote nakuona wakawaida tu....ngoja nikomae kula bamia labda zitanifanya ninyegeke hahah
 
Tatizo lako ni tatizo linalowakumba wanawake wengi ila lazima tupate historia fupi hasa ya nyuma ulikuwaje na kwanini kwasasa imekuwa hivyo. lazima tupate mzizi wa tatizo bila kujua hatuwezi kuwa na jibu la moja kwa moja, but angalia sana pia ulaji wako na je unapata muda wa kupumzika?
 
Hahahah mkuu umenifurahisha sio kwamba nimetumika noo nikwamba sina hisia kabsa ....na mtu yeyote ata ukinigusa si feel chochote nakuona wakawaida tu....ngoja nikomae kula bamia labda zitanifanya ninyegeke hahah
Hebu ni PM nikupe njia nzuri ya kurudisha hisia zako.

Huwa naona aibu kuzungumza mambo ya kutiana mbele za watu.
 
Kama hauna ugonjwa maana yake ni mindset tu mkuu.
Jitahidi ujitune katika hali ambayo una uhitaji wa kutiwa na pendelea kusoma articles za kingonongo nahisi hamu itaanza kurudi na utatamani mtu wa kukutibu.
 
Mkuu apo kwenye ulaji nakula sana na nimenenepa sio sana ila nawaza kula kula mda wrote pia kupumzika yes napumzika vzuri tu...yani haipiti dk 5 nawaza Nile nini....naona mapenzi yamehamia kwenye kula mkuu
 
Safi Sana, Nitafute nikuelekeze Wangu
 
pole sana, kadri mwili unavyokuwa ndivyo na hamu/hisia zinapungua pia yawezekana kunabaadhi ya kauli ulishakutana nazo zikakubadilisha akili yako na ukaona yanini kwani haya mapenzi, na hii pia huathiri wanaume na kujiona wasio na uwezo kutokana na kauli pia,
ila jitahidi kula kwa wastani na pindi usikiapo njaa pia jitahidi kupunguza ka si kuacha wanga na sukari (hapa najua patakupa ukakasi buti elimu yake ni ndefu) ila ukijitahidi utakuwa sawa ka 100%
 
Wewe mtoto kuna baba na kaka zako humu. Punguza ukali wa maneno.

Aibu naona mimi.
Mkuu mficha maradhi kifo humuumbua me nmeona niyatapike apa ili wenye ufumbuzi mnipe maana nnako elekea siko kabsa...
 
Kama hauna ugonjwa maana yake ni mindset tu mkuu.
Jitahidi ujitune katika hali ambayo una uhitaji wa kutiwa na pendelea kusoma articles za kingonongo nahisi hamu itaanza kurudi na utatamani mtu wa kukutibu.
Mkuu nashukuru ntalifanyia kazi wazo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…