Dreamcheaser
Member
- Feb 28, 2017
- 15
- 20
Kozi gani unasoma ni chuo gani na ngazi gani ?Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nilikosa mkopo ila wazazi wakafanikiwa kunilipia ada ya semister moja amabayo imeisha mwezi huu wa tatu tatizo sasa ni ada ya semister ijayo maana mzazi niliyekuwa namtegemea aliugua toka december mwaka jana shughuli zake zote zimesimama kwa sasa sina tegemeo lolote.Nakaribisha maoni na ushauri.
Pole sana - Ikishindana sana unaweza kufreeze ukajipanga tenaAgriculture general SUA
Mkuu hiki ni kiingereza au kienglish?Unaweza Ku corresponding
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hiki ni kiingereza au kienglish?
Afanye 'corresponding' sio ?Unaweza Ku corresponding
una maana gan mkuu au mimi ndiyo sijui lughaUnaweza Ku corresponding
Unaweza Ku corresponding
PostponingHata mimi niliwahi kucorrespond kipindi flani hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza Ku corresponding
asante sana mkuu kwa ushauri wako ubarikiwePole sana Mkuu, tambua ya kuwa haupo mwenyewe katika hali hiyo. Wapo wengi sana wasio tena la tumaini la kutimiza ndoto zao baada ya hali kubadilika.
Cha msingi usikate tamaa, fight to the last drop. Kama hutafanikiwa mwaka huu, amini utafanikiwa kwa kipindi kinachofata. Pigana Mkuu, kama hali bado itakuwa tete omba usaidizi kutoka kwa ndugu zako japo najua ugumu wake ama hairisha mwaka mpaka pale hali ya anayekuwezesha itakapotengamaa.
Muombe sana Mungu huku ukipambana naye hatakuacha. Mpe pole mzazi na augue vema na apate nafuu mapema.
Hahahahahaha lakin si umemwelewa mkuu????Mkuu hiki ni kiingereza au kienglish?