Nimepoteza leseni ya gari, naomba anayejua utaratibu wa kupata nyingine anidokeze

salim kimosa

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
390
362
Wanajamvi habari zenu,

Naomba anayejua utaratibu wa kupata leseni ya udereva upya maana ya kwangu imepotea.

Natanguliza shukrani
 
Ripoti kwanza polisi. Utapewa loss report ambayo unaenda nayo TRA. Hapo utapewa nyingine. Utalipia
 
Pole sana utaratibu ni kwamba ripoti polisi utapatiwa Loss Report kwa kuilipia kidogo then unaenda TRA kuonyesha hiyo ripoti na wao watakupa utaratibu mzima wa kupatiwa leseni nyingine. siyo kazi kubwa.
 
Ahsante Mkuu kwa maelekezo nitafuatilia
 
Wanajamvi habari zenu,

Naomba anayejua utaratibu wa kupata leseni ya udereva upya maana ya kwangu imepotea.

Natanguliza shukrani
keani hiyo leseni ya kwanza uliipata vipi ? Maana utaratibu ni ule ule unless iwe ni zile za kuletewa nyumbani
Anyways wachangiaje wengine wamejibu juu ya utaratibu mzima
 
Kama leseni yako siyo daraja C. Unaweza kwenda na copy ya leseni yako iliyopotea moja kwa moja TRA pale Tazara utasaidiwa mkuu ni siku tatu utakuwa na leseni yako. Kama ni C pia ukifika pale utaambiwa nini chakufanya. Ushauri wangu usianze kwenda Polisi. Fika sehemu husika wakupe utaratibu.
 
Wanajamvi habari zenu,

Naomba anayejua utaratibu wa kupata leseni ya udereva upya maana ya kwangu imepotea.

Natanguliza shukrani
Mkuu hivi Uko serious au unatania..??
Hiyo leseni uliletewa ndani na mjomba wako au Uli enda kuisotea chuo cha udereva na ukahitimu kwa ufaulu halali. Maana napata wasi wasi na mambo kadhaa iwemo umri wako.
 
Nikweli mkuu, kwamtu mzima ukipoteza kitu chochote hata mke tu unaenda polis sasa kwa mwenzetu hajui lazima umri wa lessen bado.
 
Kachukue loss report,andaa70000 za kitanzania kisha nyoosha mguu hadi TRA iliyo karibu nawewe,Tena uende leo.Hakuna kupunguza gharama wala nini.
Mkuu nimemaanisha niirenew kabisa (kupunguza gharama) yan niingize kwny miaka mi5 huu utaratibu mpya nisiirudishe tu halafu mwakani mwanzoni niirenew tena ofcoz hapa kati naweza survive bila leseni (sio muhimu sana yani)
 
Back
Top Bottom