Chasis ya gari imegongwa kwenye chasis yaani "chasis namba" ambayo haifutiki, kama una kadi ya gari inasoma hizo namba pamoja na engine namba wahofia nn lakini jitahidi urudishie unless lamchongo
Hizo gari zipo kwenye makundi ya kuchezewa kibati kutokulipa kodi stahidi hicho kitakua cha kugongwa ndio maana kimeweza kutoka ukienda kwa mkaguzi wa magari kwa mchakato wa kutoa taarifa gari kama ina changamoto na TRA unaweza kuliacha na kurudi kwa mguu anza kwenda na namba zake ukaangalie kama lipo sawa TRA au baada ya kufanya hivyo peleka kwa mkaguzi wa magari atalitolea taarifa ila itatumika bila kibati ila wao taarifa wanakua nazo..