Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Naandika hapa nikiwa na stress za mwendo kasi Mara upweke nikikumbuka wale watoto wangu wawili niliowaacha Portugal baada ya children support kunielemea na kushindwa kabisa niliamua nikimbilie ka nchi chengine jina kapuni sasa hali inayonikuta ni upweke wa hali ya juu!nyuma siwezi kurudi wala home siwezi kwenda kuowa tena nimeamua sasa nimvizie hata mtz mwenzangu huku lakini naona wamekaa kimaslahi sana sasa bora nivizie demu wa kichina kama nitambahatisha hapa!nahitaji maombi yenu wakuu stress zisizidi zaidi ya hapa!