Abdallah404
Member
- Feb 17, 2014
- 61
- 21
3-4 weeksHow long does it take
Mbona wiki tatu tu inafika mkuuHongera sana manake $30 zinazotumika kufanya telegraphic transfer ni pasua kichwa! Hao Payoneer binafsi nishanawa mikono! Tangu 2014 wanadai card wameshatuma na haijafika and still sifahamu tatizo ni nini hasa! Mbaya zaidi, siwezi ku-apply tena!!
I know na ndio maana najiuliza sijui nini kilitokea... is like walichanganya address!Mbona wiki tatu tu inafika mkuu
I know na ndio maana najiuliza sijui nini kilitokea... is like walichanganya address!
Or Post CodeI know na ndio maana najiuliza sijui nini kilitokea... is like walichanganya address!
unajazaje kwenye adress iliniweze kutumiwa? kila nikijaza adress inabounceFursa nyingine,safari kuingizA fedha kupitia internet was a imeanza.Kikwazo kikubwa tulichonacho Tanzania ni Payment gateway,kwa kuwa Paypal hawaruhusu kupokea fedha hapa Tanzania,Payoneer ndio Suluhisho.Niliagiza card yangu ya Payoneer from America,Now its in my hand,free wanakutumia.
tuelimishe mzee hiyo kadi inasaidia nn?Fursa nyingine,safari kuingizA fedha kupitia internet was a imeanza.Kikwazo kikubwa tulichonacho Tanzania ni Payment gateway,kwa kuwa Paypal hawaruhusu kupokea fedha hapa Tanzania,Payoneer ndio Suluhisho.Niliagiza card yangu ya Payoneer from America,Now its in my hand,free wanakutumia.