NYOTIENO JARIEKO
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 196
- 325
Nenda Geita..Fanya Ngono zembe au kua na contact ya mate ,chuchu na wanawake tofauti 10 ..usipoondoka na HBV shukuru..... HBV kwa sasa inatishia Geita, Kahama, Sengerema.
Kwa habari ya HBV-
Ikiwa mgonjwa yupo kwa acute stage huyu akitumia Dawa vzuri ANAPONA
mkuu hayo ni maelezo kutoka kwa Docta ,kama unajua toa msaadaHoma ya ini bhana! eti dawa ni ARV!
nimesemea ni Acute kwa uzoefu tu Mkuu.....Lkn umejuaje kama ni acute au chronic? Kwa kawaida ni Daktari tu ndo anaweza kusema baada ya vipimo vya maabara.
nmesemea ni Acute kwa uzoefu tu Mkuu.....
Aiseee haya maisha huwezi kuona thamani yake ukiwa na afya njema.ukipata magonjwa kama haya ndio unaona thamani ya kuwa na afya njema.dah!![emoji848][emoji848]Haya mambo hayana uzoefu, ni lazima vipimo kutoka maabara viseme na vile vile historia ya mgonjwa, kama ndo kwanza ameambukizwa basi ni lazima atakuwa na dalili za kuumwa lkn kama chronic huwa mara nyingi hamna dalili mpaka ini likishambuliwa na kuja kushtuka muathurika ana saratani ya ini, na hapi ni mwisho kwani saratani ya ini haina dawa.
Homa ya ini bhana! eti dawa ni ARV!
ARVs ni anti retroviral Dawa mahususi za kuzuia HIV .. Unajua kwann umepimwa na HIV?? Ni kwasababu ni Co-infenctions yaan Ni rahisi kumkuta mwenye HIV ana HBV lkn sio lazima mwenye HBV awe na HIV.
Haya mambo hayana uzoefu, ni lazima vipimo kutoka maabara viseme na vile vile historia ya mgonjwa, kama ndo kwanza ameambukizwa basi ni lazima atakuwa na dalili za kuumwa lkn kama chronic huwa mara nyingi hamna dalili mpaka ini likishambuliwa na kuja kushtuka muathurika ana saratani ya ini, na hapi ni mwisho kwani saratani ya ini haina dawa.