stopperjoseph
Senior Member
- Dec 9, 2018
- 199
- 211
Umepigwa na kitu kizito broHiyo movie niko naendelea nayo hapa...dada mmoja wa kikurya anakomaa na mimi eti ana ujauzito wangu..

Utengwe mkuuTafuta na wewe mnyonge wako mpigie dem wake na mtoto awe wako
Mama mzazi kasema mtoto sio wake. DNA YA NNI SASA?Mlichukua vipimo vya DNA?
Je jina ndiyo huthibitisha kwamba huyo mtoto ni wako au siyo wako?
Kwa nini wasomi wa siku hizi hamna akili?
Peleka polisi mshenzi huyo. Mi aliniambia mtoto amekufa kumbe mzima hadi leo nishagoma kutoa huduma. Huku nlihudumia mimba, kujifungua na mwaka mmoja wa mtotoNaenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,
Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu
iko hivi, nilikuwa kwenye mahusiano na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao, nilitumia gharama nyingi ili isijulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyojifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakuwa ndio mtoto wangu wa kwanza,
Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu
Ukatili niliofanyiwa alikuwa akienda kliniki kadi kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko ananiletea kadi naiona.
Kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nikamwambia haitwi Esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la Balele siyo la kwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija kliniki atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kuwa hivyo sababu kadi naijua ina jina langu
Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofika jioni akaja, nilimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukweli najua kila kitu na Balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa Balele, nilipwatwa hasira nilimpiga
Niliona haisaidii nitamuumiza na mpaka sasa sina cha kufanya gharama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikuwa ahudumii.
Nifanyeje jamani mtoto alikuwa anakesha usiku analia nahangaika,
Nahitaji faraja.
Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
Mshtaki atakulipa hela zako zotePeleka polisi mshenzi huyo. Mi aliniambia mtoto amekufa kumbe mzima hadi leo nishagoma kutoa huduma. Huku nlihudumia mimba, kujifungua na mwaka mmoja wa mtoto
Kadi mbili siyo tatizo. Kama mlikuwa mnapiga wote, kuna uwezekano mtoto anaweza kuwa wako au wa Balele. Hapa naona ihusishe DNA, unaweza kudhania mtoto si wako wako kumbe wako. Kama wote mlikuwa mnapiga katika mzunguko wa kupata mimba, kwa nini ukbali kuwa mtoto ni wako! Saa ingoine hata mama ya mtoto hajui baba ya mtoto wake! Niamini, jaribu DNA ikupe uhakika, maana unawaza kugawa mtoto wako bila kufahamu.Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,
Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu
iko hivi, nilikuwa kwenye mahusiano na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao, nilitumia gharama nyingi ili isijulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyojifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakuwa ndio mtoto wangu wa kwanza,
Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu
Ukatili niliofanyiwa alikuwa akienda kliniki kadi kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko ananiletea kadi naiona.
Kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nikamwambia haitwi Esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la Balele siyo la kwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija kliniki atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kuwa hivyo sababu kadi naijua ina jina langu
Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofika jioni akaja, nilimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukweli najua kila kitu na Balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa Balele, nilipwatwa hasira nilimpiga
Niliona haisaidii nitamuumiza na mpaka sasa sina cha kufanya gharama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikuwa ahudumii.
Nifanyeje jamani mtoto alikuwa anakesha usiku analia nahangaika,
Nahitaji faraja.
Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
Wazo nzuliKadi mbili siyo tatizo. Kama mlikuwa mnapiga wote, kuna uwezekano mtoto anaweza kuwa wako au wa Balele. Hapa naona ihusishe DNA, unaweza kudhania mtoto si wako wako kumbe wako. Kama wote mlikuwa mnapiga katika mzunguko wa kupata mimba, kwa nini ukbali kuwa mtoto ni wako! Saa ingoine hata mama ya mtoto hajui baba ya mtoto wake! Niamini, jaribu DNA ikupe uhakika, maana unawaza kugawa mtoto wako bila kufahamu.
kummk Geita sehemu gani mwamba nije nikupe pole?? nyankumbu, mwatulole, shilabela, au wapi mwamba??Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,
Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu
iko hivi, nilikuwa kwenye mahusiano na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao, nilitumia gharama nyingi ili isijulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyojifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakuwa ndio mtoto wangu wa kwanza,
Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu
Ukatili niliofanyiwa alikuwa akienda kliniki kadi kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko ananiletea kadi naiona.
Kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nikamwambia haitwi Esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la Balele siyo la kwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija kliniki atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kuwa hivyo sababu kadi naijua ina jina langu
Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofika jioni akaja, nilimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukweli najua kila kitu na Balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa Balele, nilipwatwa hasira nilimpiga
Niliona haisaidii nitamuumiza na mpaka sasa sina cha kufanya gharama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikuwa ahudumii.
Nifanyeje jamani mtoto alikuwa anakesha usiku analia nahangaika,
Nahitaji faraja.
Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
Shukuru umejua mapemaNaenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,