Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

Pole Sana mkuu kikubwa imejua Mtoto si wako bas ishi kwa amani lakn ushauri wangu huyo mwanamke hakufai achana nae kabisaa

Ngoja nikupe kisa changu kidogo

Mwaka 2009 ajira yangu ya kwanza nilipangiwa jiji moja huko kaskazn

Nikapata binti nikazama mapenzn baadaye akapata ujauzito nikahudumia vizur had mtoto anazaliwa nikapata likizo nikarud home huku nyuma Kuna njemba ilikuja kudai mtoto kuwa ni wake na mm n baba mlez TU sjui walikubaliana nn lakn yule binti hakunisimulia Kama yalitokea hayo nyuma majiran walinisimulia

Kumbe walioanga wanitoroke na mm nilishajua so Wala sikumbana na akatoroka kweli wakalea mtoto lakn kila mtoto anavyokuwa mtoto anachukua sura yangu kabisa mwishowe jamaa akamfukuza huko walikokimbilia kuwa mtoto s wake nikaitwa na wzaz wake wanisuluhushe binafs nilikataa kabisa na nilimkataa yule mtoto japo tulifanana kila kitu

Hivi navyoongea baada ya kujiridhisha na wazaz wangu kukubal kuwa ile n damu yetu Kaka yangu anaenda kumchukua dogo kumleta hapa jiji la makala kumbuka imepita miaka 11 toka haya yatokee







Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Pole Sana mkuu,
Hii Dunia ina mitihani sana.
 
Pole sana ongwise..kwakua baba mtoto naye ni msukuma mwenzio usiwaze lea tu tena Minza ni mtoto wa kike akikua utaoza utapata mangombe..amapole kagibhochaga ongwise.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naenda kwenye maada,, stak kupoteza mda wakuu,,

Naumia sana tena inauma
Nimehudumia mimba mpaka kujifungua mbaya zaidi mtoto akafikia mwaka na miezi sita ndipo nikabaini mtoto sio wakwangu

iko hv, nlikua kwenye mahusianono na binti alivyobeba ujauzito akafukuzwa kwao nilitumia gharama nyingi ili isjulikane nikapoteza kazi nilionayo, tukayajenga nilee mimba nikaendelea kulea mpaka alivyo jifungua mtoto wa kike, nikampa jina mtoto kwa jina la mama yangu mzazi (MINZA) kwakua ndio mtoto wangu wa kwanza,

Juzi nmeshinda bila kula nilivyogundua minza sio mtoto wangu

Ukatili niliofanyiwa Alikua akienda kilinic kadi ya kilinic kaandika jina jingine na baba mwingine, akitoka huko ana kadi nyingine sijui kaitoa wapi, anakopi yaliyoandikwa huko anajaza kwenye kadi ile yenye jina nililompa mtoto, kawaida yake kila akitoka huko clnc ananiletea kadi naiona,

kilichotokea, nimepanga nyumba moja na nesi mmoja akaniuliza mtoto wako ESTA anaendeleaje? nkamwambia haitwi esta bali anaitwa MINZA akaniuliza mbona kwenye kadi mmeandka ESTA BALELE ambalo jina la balele sio lakwangu aisee tulibshana, akaniambia siku wakija klnc atazizuia kadi ili anitoe ubishi nikamhakikishia haiwezi kua hivyo sababu kadi naijua ina jina langu

Juzi nimeiona kadi ina jina jingne la mtoto baba babu,, ikabidi nimpigie simu tukutane ilipofka jioni akaja, nlimuuliza neno moja tu, niambie MINZA ni mtoto wangu au sio wangu sema ukwel najua kila kitu na balele ni nani, binti akaanza kulia akasema sio mtoto wangu ni mtoto wa balele, nilipwatwa hasira nilimpiga

niliona haisaidii nitamuumza na mpaka sasa sina cha kufanya ghalama nilizowekeza ni nyingi mno naumia mwenye mtoto alikua hahudumii nifanyeje jamani mtoto alikua anakesha usiku analia nahangaika,

Naitaji faraja.


Yuda exalioth
natumia jamiiforums
karibuni Geita.
Mzee pole tafuta kitu cha kukupa Amani but vizuri kuacha muda uzungumze .
Mengi watu wanapitia but muda ndio kila kitu
 
TEA.JPG
 
kwanza tuliza hasira pia shida haziishi mkuu, huyo dada atakutafuta badae akusumbue.....

Kama balele angekuwa anampenda na kumthamini asingeacha kuhudumia [kulingana na maelezo] maana inawezakana huyo dada alikuwa anawapiga hela wote wawili alafu hela yako anarudishia mwili na kujizawadia vijizawadi.....

Be strong enough kuachilia hiyo chuki na kupotezea kama huwajui
 
Pole sana Bro, kuwa na kadi mbili inawezekana kabisa sababu clinic nyingi wanakupa kadi yao ukatoe copy sasa yeye itakuwa alitoa copy mbili za kimkakati.
 
Nasema hivi, wachuchu wapo wengi sana kushinda wanaume...

Mchuchu qkizingua kwa jinsi yoyote ile, piga chini tafuta mchuchu mwingine...

Usawa huu unaanzaje kufanywa jogoo la kuazima!!
 
Iliwahi karibia kunikuta,
Sema mi niliwahi kdg kabla mimba ikiwa bado changa.

Baadhi ya Wanawake Sijui huwa wanajiamini Nini kumsingizia mtu
Tena bila aibu wanawake ndio maana utaskia kachinjwa ndo haya haya
 
Back
Top Bottom