Nimepigwa na kitu kizito! Nimehudumia mtoto mwaka mzima kumbe sio wakwangu

Sema nilipoteza hela nyingi sana.alinipiga operesheni laki 4.
Alafu mimba hewa.
Acha gharama nyingine za mtoto.
Kuna jamaa alikuwa kamuoa huyo mwanamke ndo aliiba namba yangu akanipigia na kuniambia ukweli.
Sikukasirika hata bali nilishukuru Mungu.
Inauma mkuu nilikua naskiaga tu ila imenitokea yaani
 
Ulifanya kosa sana kumpiga. Sawa umempiga imesaidia nini?
Hapo una option mbili tu
1. Umsamehe ulee mtoto
2. Umuache
Ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke, mchunguze kwanza na siyo kuparamia tu. Acha uumie kwasbb ndiyo uanaume huo.
Akiumia ndo anazidi kukomaa eeh
 
Back
Top Bottom