Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,687
- 19,854
Kikubwa msala ule nimeumiliki ... Kuna vitu kama ungaunga waalikuwa wanawawekea sasa sijui ni dawa za usingizi au madawa ya kulevya au nini sijui ...lakini walitepeta mnooo ...Wafungie GPRS maana kuna siku watarudi tu kwa hao hao wanaume.
Hapana babu. Mi ni mtu wa tungi sana, sana yaaani. Lakini sipendagi uhuniuhuni .... Sikumjua wala kuwajua kabla niliemda tu kucheki game bar ya mwana ... Nkakuta meza yao ina gap nkakaaa ... Sasa ile fuata bia fuata bia maana kwenye banda la soka huku huduma ni hafifu ... Nkachukua mzinga ndio nkatulia sasa ..ndio nkaona huo ujinga nkamwaga zile energy ... Hapo majamaa wametoka tena ile wanarudi ndio nimeita boda ... Ooh unatorosha madem zetu huku na kule varangati .. Nkawaambia wanafunzi hawa acheni ujinga nampigia hapa oc cid ndio wakatulia hapo tushavurugana sana ..... Yes kimtindo nilikuwa najikinga na majanga yote ya mbele .Lengo halikuwa kuwaokoa mabinti. Lengo lako ilokuwa ni kunusuru msala kwa mkeo. Una roho mbaya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yao huko hata kama walikuwa wanafanyana ni huko na si gonga demu anafahamu basi duuh ... alivyokuwa wimbi yule mmoja na wangekunywa zile nilizomwaga haaaaa .... Watu wangepiga show hatari ....Wafungie king’amuzi cha kwenye ubongo wao uwe unawecheki mawazo yao live
Sent from my iPhone using JamiiForums
No maaam ... Nilienda kucheki gemu ..... Meza yao ndio ilikuwa na gap la viti ... Siwezi kulala/sex na mwanamke emelewa hajielewi no ubakaji Big NoooBirds of the same feathers flock together
Haaaa mtoto wa form 2 ndio anaingia form 3 mwaka huu ... Kweli wangeniua hapo ... Mademu wote hawa mtaani!??? Ukagonge mtoto tena kwa kumlewesha utakuwa chizi ..kwanza mtoto akili haijakomaa ,umeshindwa kumtongoza ndio umleweahe sijui na maunga gani yale .... Duuuh hivi uanaume mnafikiri ni kudinda tu ...isee jamaa unaroho mbaya hatar umewabania majamaa riziki isee ....safi sana walivyokutoa manundu...siku nyingine usiingilie business za watu hujui MTU kawekezaje hapo...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
mtoto was form 2 unamuona mdogo khaaa we jamaa hivi vitoto vinajua mapenzi toka vilivyokuwa shule ya msingi huko....hapo unafikiri ungekutana na bikra hata mmoja?? Fanya kujiupdate mkuu! we mtoto mpaka anajua kwenda Bar unafikri kuna nn hapo?? wameshaanza kitambo mzeeH
Haaaa mtoto wa form 2 ndio anaingia form 3 mwaka huu ... Kweli wangeniua hapo ... Mademu wote hawa mtaani!??? Ukagonge mtoto tena kwa kumlewesha utakuwa chizi ..kwanza mtoto akili haijakomaa ,umeshindwa kumtongoza ndio umleweahe sijui na maunga gani yale .... Duuuh hivi uanaume mnafikiri ni kudinda tu ...
Siwezi kusex na under age (u18 ama mwanafunzi )siwezi ... Siwezi ..... Kama unaweza barikiwa sana ... Mimi siwezi hata kama msela kiasi gani kafanyeni huo upumbavu sipo hapo ... Asee mna roho ngumu sana ..... Kuna msela hapa mwalimu tunampelekea chumvi , sabuni ,sukari yupo hapa magereza .... Alikuwa mbishi hivyohivyomtoto was form 2 unamuona mdogo khaaa we jamaa hivi vitoto vinajua mapenzi toka vilivyokuwa shule ya msingi huko....hapo unafikiri ungekutana na bikra hata mmoja?? Fanya kujiupdate mkuu! we mtoto mpaka anajua kwenda Bar unafikri kuna nn hapo?? wameshaanza kitambo mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukifanya kwa pamoja kwa nafasi tutaokoa kizazi cha sasa na cha baadae .... Malipo ni kwa MunguWafungie GPRS maana kuna siku watarudi tu kwa hao hao wanaume.
Amefanya kazi bure na kujiumiza tuWafungie GPRS maana kuna siku watarudi tu kwa hao hao wanaume.
Atanilipa MUNGU ... .. Nimefanya sehemu ya wajibu wangu kama mzazi ...Amefanya kazi bure na kujiumiza tu
Hongera mkuu kwa moyo wako huoAtanilipa MUNGU ... .. Nimefanya sehemu ya wajibu wangu kama mzazi ...
Uzuri mawilayani huku tunaishi kinzengoHongera mkuu kwa moyo wako huo