MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
Sisi hatuna mioyo? Sisi sio binadamu auNiliuliza swali, wanaume huwa mna cha kupoteza kwenye mapenzi tena hasa wanaume kama ninyi wazee wa kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha huwa mna cha kupoteza kwenye mapenzi?
You are loved by me so much.Yeah
I went to hell and back.Go to hell
Kuna sehem moja hapo shaurimoyo kwa Seif Mapilau huwezi kula chapati zake mbili labda uwe hujala wiki nzimaHivi hii dozi ya chapati ni lazima iwe mbili tu? Kwanini isiwe moja ama tatu?
Sisi hatuna mioyo? Sisi sio binadamu au
Mwanamke ndiyo wazir mkuu kwenye familia kwaiyo ukipata wazir mkuu asiye jielewa ata watoto malez yao yatakuwa ovyo, na mke ni kiunganishi kati ya ndugu wa Mme na mke, kwaiyo tukioa mwanamke mchoyo asiye na upendo ndugu na jamaa watakuwa awaji kukutembelea.Hivyo vigezo mnavyovitakaga wanawake wawe navyo na ninyi wanaume huwa mnakuwaga navyo?
AmenMUNGU IBARIKI JF NA MEMBA WOTE ...
Hata kama hatuna kumbuka pia sisi ni watuHivi hizi kauli zenu wanaume mnazoziongeaga humu hasa wewe mnaweza kusema mna cha kupoteza kwenye mapenzi kweli?
Mwanamke ndiyo wazir mkuu kwenye familia kwaiyo ukipata wazir mkuu asiye jielewa ata watoto malez yao yatakuwa ovyo, na mke ni kiunganishi kati ya ndugu wa Mme na mke, kwaiyo tukioa mwanamke mchoyo asiye na upendo ndugu na jamaa watakuwa awaji kukutembelea.
Acheni kutudharau labda ndiyo tutawaonea hurumaHata kama hatuna kumbuka pia sisi ni watu
Mwanaume kililia buku ni aibu