Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
:sorry::sorry::sorry: msishituke sana sijapigiwa simu ya kuitwa kazini
Habari zenu wadau! jana asubuhi kuna mtu kanipigia simu 0716 74 19 96 anadai kuwa yeye ni afisa utumishi wa PSPF,anataka ni mtumie hela 150000 ili ani short list kwenye oral interview!
ilibidi nishangae kwa sababu sikufanya interview PSPF, japo niitwa kwenye post ya finance office(tax matter) sikuudhuria sababu nilikuwa nimesafiri kikazi!
sasa hivi tena kabla sijahamua kuandika hapa,ananiambia wote waliofanyiwa usahili hawajapata hizo alama,kwa CV yangu ni nzuri sana nimpe 300000 nipate kazi moja kwa moja. my take/ nahisi kuna udhaifu mkubwa kwa taasisi tunazoomba kazi kushindwa kuhifadhi taarifa za siri za waombaji mpaka matapeli wanaziapata au kuna ushirikiano na watumishi wasio waminifu
nimemwambia nitamreport mamlaka husika!aache kusumbua wananchi. so naileta hapa kama taadhari wanajamvi