Nimependwa lakini yamenikuta. Daaaa!!!!

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,599
Reaction score
2,248
Nilipofika kituo furan cha kaz nilifany kazi kw mda wa miezi 7 baad ya hapo tukakutan na dada fulani huw anauza duka lakin pana mgahaw wakutosh,kutokan nakwenda pale kila maramara kumbe yule demu alikuwa ananilove kinona ila alikuwa ananiogopa but tulikuna na rafiki yangu ambaye walizoeana naye DEMU akamuliza rafiki yangu yule mwezako wapi? jamaa akasema yupo ila huku haji,jamaa akasema au nikupe namba yake,dem akagoma akasema labda nikupe ya kwangu afu ukampe jamaa akachukua namba akanipa nikapokea baada ya masaa kama 8 nikampigia akapokea,akasem nani ww? nikasem mi luka! akasem oho mamb yani ungekuja tu hat nikuone 2 kw kujikaza nikaend tukasalimia kumbe kuna jama ilizinguliw akaniona akamwambia FATHER wake,fadha wak akachuku sm akaona kuna sms za kwang MZEE akamuita kijan wake akamwambia ivi nani ambay huna anamtongoz huyu bint? kumb jama alish wahi kunion jama akanyara,akajakuniambia mwanang dogo amebambw na sms za kwako HUY MZE NIMKU WAKITUO CHA POLISI lakin jama amenichunia ILA DA AMENIPENDA NIFANYEGE
 

hebu tuondelee upuuzi wako hapa.subiri waku-ufoo saro!
 
Unaweza kuta jamaa ni Graduate.

Hakuna kitu kama icho!
Siku hizi O level wamejaa humu!
...
Haki ya Mungu mnatuonea bureee!
...
Mi nahisi mtu akiwa na Pumba, hata awe prof hatoacha kutema pumba zake!
 
hiyo tume nyingine itakayoundwa kuchunguza matokeo mabaya form four 2014 waje watuulize na wana M.m.u....
 
Hahahah...halafu bado ana siku 10 afanye Necta ya Form Four

Tunacheka...lakini hili ni balaa kubwa kwa Taifa. Hivi kweli mtu mpaka unaweza kulog-in JF unashindwa kuandika ka'hadithi ka paragraph moja tu kanakoeleweka!? Halafu huyu few years to come ndio aje aandike thesis au scientific paper, business plan, proposal, article kwenye news paper, au publication tu yoyote...
 
kwani shule hazijafunguliwa jamani!!
 

Na huyo ni mfanyakazi katika taasisi fulani ukumbuke! Kweli kuna tatizo kubwa katika nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…