Nimependa tena!

Nitumie namba yake nikutongozee
 
kumbe mbwembwe zote hata sera bado haujauza....anza kumset kwanza ndo utoe exclusive kama hii...
Me nimependa jamani, kutongoza bado ndo natafuta mbinu.
At least nipewe mfano wa manzi kama huyu huingizwa vip box.
 
Maisha mafupi
Kama unampenda mwambie nakupenda
Akionesha kuhitaji mtu basi muoneshe vile unampenda
Akikataa basi muache sababu soon utalia Tena
Ni hayo tu

kelphin kepph
 
Mpe suspension notice hadi pale akili zako zitakapokuwa zimekomaa kuweza kujua nini unahitaji maishani.
 
Yani nisha waza sanaaaaa.. na tatizo kubwa linalonipa wasi wasi ni.. mala nyingi wasichana huwa wanapoteza trust kabisa na wanaume baada ya break up fulani. Na kuamua kuishi kivyao kutuliza moyo kidogo, na ndo hicho kipindi na mim naona ndio nataka kujichomeka,,sasa nitamuaminisha vip kuwa mim sio kama wale.
 
kusema kweli nimeipenda sana miguu yako...kwenye avatar

Pamoja na kusifia miguu ya bado umenikazia hata asante basi...

Na mimi nakiri am in love...na miguu ya Cc mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…