M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 23, 2015 #41 HARUFU said: Mguu wa kulia naona kikuku hapo Click to expand... mkuu yaani unashangaa hicho kikuku hicho ni sawa na tangazo la business
HARUFU said: Mguu wa kulia naona kikuku hapo Click to expand... mkuu yaani unashangaa hicho kikuku hicho ni sawa na tangazo la business
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 May 25, 2015 #42 Mussolin5 said: Anatoa huduma au? Click to expand... Kiongozi hapo kwa kweli swali lako lipo nje ya uwezo wangu. Nafikiri wengi wanafanya kwa urembo tu tafauti na tunavyochukulia labda wataalam zaidi waje kutusaidia ili tunufaike sote
Mussolin5 said: Anatoa huduma au? Click to expand... Kiongozi hapo kwa kweli swali lako lipo nje ya uwezo wangu. Nafikiri wengi wanafanya kwa urembo tu tafauti na tunavyochukulia labda wataalam zaidi waje kutusaidia ili tunufaike sote
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 May 25, 2015 #43 makubazi said: mkuu yaani unashangaa hicho kikuku hicho ni sawa na tangazo la business Click to expand... Vipi lakini hapo ukutani chupingi umeikubali?
makubazi said: mkuu yaani unashangaa hicho kikuku hicho ni sawa na tangazo la business Click to expand... Vipi lakini hapo ukutani chupingi umeikubali?