chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 877
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo nn sasa.Kwa nini hukutumia condom wakat ulijua mambo yako bado ...mbona unaongozwa na kichwa cha chini
Usianze lawama wakati limeshatokea.Kwa nini hukutumia condom wakat ulijua mambo yako bado ...mbona unaongozwa na kichwa cha chini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nn sasa.
nikwel mkuu lakn mwenzangu umekua ni wimbo ndo kwanza mimba Ina miez mitatu anasisitizia niende kwao kujitambulisha ili amlidhishe mama ake na muda huo uyu mwenzangu anajua kabsa Hali yang ya kiuchumi mamb bado meng nawaza kutunza visetn kwajil ya mtoto atakae zaliwambona ishu ndogo tu, kama kwa sasa huna hela huna haja saana ya kujikamua we relax tu endelea na mishe mishe, mtoto ni wako na mke ni wako tu.
wazazi weng linpotokea swala la mtt kupata ujauzito akiwa bado nyumbani hulazimisha vitu km posa ili kukwepa ile aibu kwa jamii lkn ht usipotoa iyo posa kwa sasa watakasirika san tu lkn siku utayoamua kwenda kutoa posa watakupokea tu na undugu utaendelea km kawaida..
asnte Kaka[emoji120][emoji120]Kaka utauweza ubaba kweli hata huko mbele ya safari?
Mbona ishu ndogo sana hii, ingekuwa una mke mwingine au humpendi binti labda kwa mbaaaaaaali ungekuwa na huo msongo wa mawazo, lakini unasema binti unampenda na huna mpango kumchezea sasa kwa nini usijitambulishe ukalea mimba yako kiongozi hata kwa hizo mia mia zako unazopata.
Wazazio wa binti wanachohitaji ni uhakika tu, wewe kajitambulishe kisha kuwa nao karibui sana alafu wapigie hizo stori za kuunga unga life watakuelewa sana na utashangaa utapata na sapoti juu.
USIJE UKAWAZA KUMSHAWISHI BINTI ATOE HIYO MIMBA!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo mengine yanatokea kwa bahati mbaya tu mkuu. Pale mmeshamaliza ndo mnakumbuka duh, presha hizi [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
daaah ilikua n Mara chache Sana kuzitumiaCondom hivi zinauzwa shilingi ngapi? Ingekuepusha na huu msongo wa mawazo.