Nimepatikana leo,natafuta mchumba mwingine

Nimepatikana leo,natafuta mchumba mwingine

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,326
Reaction score
7,522
Habari JF,

Nilimpenda dada mmoja kwa bahati nzuri baada ya kumtongoza akanikubalia,baada ya mwezi mmoja tukaanza mapenzi. Hadi sasa ni miezi mitano hajawahi kuniambia kuwa ana mtoto,umri wake ni 23yrs

Leo nimetambua kuwa ana mtoto wakati anaongea na wazazi wake akaongelea habari za mtoto wake. Nimemuuliza amejibu kuwa ana mtoto wa miaka mitatu.

Siko tayari kuoa single mother,nia yangu ya kumuoa haipo tena
 
Kwa hiyo baada ya kupiga show na kula "ambalulu" ya mdada wa watu then unataka kuachia manyoya kirahisi.

No way! Unajua licha ya kubaini mengi ya mwenzio ambayo ni unpleasant lakini mwisho wa siku ukabaki royal and faithful then that's "love" kutafuta mwengine sio suluhisho bro, stay with her.

Mpende tu mchuchu for better for worse na Mungu atabless.
 
Duh ngoja waje kina lara1
Mkuu kuoa mtu mwenye mtoto si dhambi wala tatizo,wewe ongea na mhusika mtam-handle vipi huyo mtoto. Waliozalishwa nao wanahitaji mapenzi na huyo unaweza kuona kwama walimzalisha akiwa na umri mdogo kwa hiyo haikua kwa hiari yake. Huyo unaemtaka ambaye hana mtoto ,yawezekana alitoa mimba zaidi ya moja .Uchaguzi ni wako na hayo alikua maoni yangu juu ya swala lako
 
Habari Jf
Nilimpenda dada mmoja kwa bahati nzuri baada ya kumtongoza akanikubalia,baada ya mwezi mmoja tukaanza mapenzi
Hadi sasa ni miezi mitano hajawahi kuniambia kuwa ana mtoto,umri wake ni 23yrs,leo nimetambua kuwa ana mtoto wakati anaongea na wazazi wake akaongelea habari za mtoto wake.Nimemuuliza amejibu kuwa ana mtoto wa miaka mitatu.
Siko tayari kuoa single mother,nia yangu ya kumuoa haipo tena
Utapata laana mjomba
 
Ina maana cku zote ulipokua nae hukuwahi kuhisi kama kashazaa hasa kwa kupitia nyonyo zake?
 
hii movie ilizidi kuniweka mbali na singo mazaz.

daddys-home.png
 
kwani alikudanganya....au hamkuulizana...ishu sio single mother japo ni sawa kutokuwa tayari ...ila kama mlifichana mwanzo ndio shida
 
Kama hujawahi kumpa mimba mwanamke mwngne ukamtelekeza basi muache huyo mwanamke.maana hamtaki wenye watoto afu nyie mlishawazlishe wengne sijui waolewe na nani??!!
 
bora ushukuru kuwa umepata mwanamke mwenye kizazi ww unagaili wengine hawana watoto ila wametoa mimba nyingi usijichanganye
 
Kwa hyo alozaa co mtu,yaani nyie watu basi tu Mungu awasaidie,umekaa na dada wa watu akijua kapata mwenzake halaf sasa hv unakuja na mishauo yako mfyuuuuuuuu
 
Umepata mwanamke mwnye kizazi af unajishaua tena kwan unaoa make au huyo mtoto wake. Ni PM af unipe namba yake tutengenezea maisha
 
Back
Top Bottom