Nimepata ZIGO moto nimeshindwa Kula.

Nimepata ZIGO moto nimeshindwa Kula.

Ulikuwa na papara sana ukifika sehem kama hizo tulia kwanza kunamizigo mingine inakuwa IPO njian inakuja usijal sana muda
 
Mkuu kuna kitu Mungu kakuepusha nacho. Ukiskia roho imekataa jambo usifanye
 
Mimi niko Shule ya Msingi Isike hapa, siku nyingine ukija Tbr nistue
 
Back
Top Bottom