fasiliteta
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 2,165
- 3,656
Gesi/vidonda vya tumbo.Kifua kinabana tu na kichwa kinauma sehem za katikati kuhusu dizziness , poor vision na nausea cjapata hayo matatizo
Nilipitia hyo Hali,Regency Kila week nilienda kupima yote hayo mpaka Muhimbili.Alikuja jua mhindi mmoja ni gesi,mpaka leo nikajua Tatzo langu na namna ya kulicontrol