juliusemassesa
Member
- Aug 26, 2016
- 71
- 33
Uliponaje ndugu yangu?Gesi/vidonda vya tumbo.
Nilipitia hyo Hali,Regency Kila week nilienda kupima yote hayo mpaka Muhimbili.Alikuja jua mhindi mmoja ni gesi,mpaka leo nikajua Tatzo langu na namna ya kulicontrol