Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Endelea hvyo hvyo kuwa domo zege.Wakubwa zangu nawasalimu Sana,
Nimepata namba za huyu Binti ambaye anafanya Moyo wangu uwake moto na kukukuruka naombeni msaada wenu nawezaje Anza mawasiliano na yeye ili na Mimi nifaidi mema ya nchi.
Mimi ni Domozegee.
🤣🤣🤣🤣Toa namba kwa Mzee wa kupambania au mzabzab watakusaidia kumwelekeza namna unavyompenda.
Wakubwa zangu nawasalimu Sana,
Nimepata namba za huyu Binti ambaye anafanya Moyo wangu uwake moto na kukukuruka naombeni msaada wenu nawezaje Anza mawasiliano na yeye ili na Mimi nifaidi mema ya nchi.
Mimi ni Domozegee.
hakuna formula.....Find this bookView attachment 2602952
we mwache..... badala ajilipue, anajing'ata ng'ata....Yaani umepata assist bado kufunga tu unataka kubutua mkuu, na usipoenda kwa step unaweza ukala kibuti kabla hata hujafaidi mema ya nchi😀
Mwishowe mshamba_hachekwi atamuwahi shauri yake watu wako fasterwe mwache..... badala ajilipue, anajing'ata ng'ata....
by the time anasanuka, nshafanya yangu.... 😂 anakutana na uharibifu....😂Mwishowe mshamba_hachekwi atamuwahi shauri yake watu wako faster
Wakubwa zangu nawasalimu Sana,
Nimepata namba za huyu Binti ambaye anafanya Moyo wangu uwake moto na kukukuruka naombeni msaada wenu nawezaje Anza mawasiliano na yeye ili na Mimi nifaidi mema ya nchi.
Mimi ni Domozegee.
Em msaidie mbinu huyu kijana mzembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani umepata assist bado kufunga tu unataka kubutua mkuu, na usipoenda kwa step unaweza ukala kibuti kabla hata hujafaidi mema ya nchi[emoji3]