asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Hongera bibie.........
my dear, hongera sana na Inshaallah Mwenyezi Mungu akifanyie wepesi ktk kipindi chote cha ujauzito hadi kujifungua...ebu nipe maujanja na mie mwenzako nifanyeje maana nimetafuta mtoto na sijafanikiwa hadi leo!
nimetabasam!!!!
hahahahaaa!!! unajua SUZANE lile zoezi si mchezo!
hataukiwa kimbau mbau lazima jasho likutiririke!
hongera sana dada, nakushai utumie family planning, una zoez gumu sana la kuwapa watoto wako basic needs especially elimu!!
kesho nikipata nafasi tutaongea kupitia PM............