Nimepata kazi ya Tutorial assitant St. Francis Ifakara

Nimepata kazi ya Tutorial assitant St. Francis Ifakara

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,763
Reaction score
819
Wakuu nimeapata kazi ya kufundisha St Francis Ifakara mshahara wao si mbaya sana na wanatoa 15% house allowance.
wanaofahamu mazingira ya kzi hapo vp zaidi ya salary kuna any other benefits. na wakati wa kwenda shule najua wanakusomesha je masharti yao yakoje nisije jiingiza kwenye mikataba ambayo kujinasua itakuwa ngumu. kwa sasa nafanya kwenye shirika binafsi nako mshahara wa kawaida pamoja na top up.
Hawa wa shirika binafsi pia wanaweza kukusomesha ila utatakiwa kulipa deni kwa 5yrs baada ya kumaliza chuo. ambapo mazingira yake si mazuri sana coz pako busy sana. Sasa naomba ushauri kwa anayefahamu terms zao ili zinisaidie kwa maamuzi. natakiwa kuriport kzini March na kusaini mkataba.
Natanguliza shukrani
 
Hongera!
Tangulia,nitaapply huko mwakani hope utakuwa na experience tayari ya maisha ya huko na kila kitu.
 
kaka hongera sana nenda kafanye kazi bwana hivi vyuo vya wakatoliki ni vizuri sana ila epuka kutuharibia dada zetu
 
mimi ninafamilia bwana, siwezi fanya hivyo. wife pia nitakuwa naye coz tumepata wote
 
Ninavyowafahamu mim kwani hapo ni tawi la SAUT - Mwanza, kimaslahi si wabaya na wanakusomesha kama ulivyosema, cha msingi ukiingia hapo lazima ujitume (na hii ndo wengi hawapendi sijui kwa nini), wako busy lakini kwa nini uchukie kazi kama unalipwa vizuri, ninapenda sana hiyo ya kusomeshwa kwan unakuwa na uhakika wa kusoma masters haraka bila shida.
 
Ifakara apart from the benefits mentioned already its a place with full of opportunities in entrepreneurship if ur interested ofkoz kilimo hapo kinalipa sana coz bado ifakara ni virgin land Kuna wasukuma hapo wanamijihela ya kilimo go and do thorough exploration of opportunities vizuri ujasiri wa mali ni muhimu sana in this era as well as professional development
 
nashukuruni kwa info wadau, mimi binafsi ni mtu wa kazi na napenda sana kufundisha, kuhusu kufanya kazi hili halinisumbui coz hata sasa nafanya na wakatoliki hawa hawa kweli unakuwa busy lakini fedha wanakupa kwa wakati wala hakuna blabla. nashukuruni sana nitazingatia ushauri wenu na kuwapa updates. be blessed all Marry X mass and happy new year 2013
 
Wakuu nimeapata kazi ya kufundisha St Francis Ifakara mshahara wao si mbaya sana na wanatoa 15% house allowance.
wanaofahamu mazingira ya kzi hapo vp zaidi ya salary kuna any other benefits. na wakati wa kwenda shule najua wanakusomesha je masharti yao yakoje nisije jiingiza kwenye mikataba ambayo kujinasua itakuwa ngumu. kwa sasa nafanya kwenye shirika binafsi nako mshahara wa kawaida pamoja na top up.
Hawa wa shirika binafsi pia wanaweza kukusomesha ila utatakiwa kulipa deni kwa 5yrs baada ya kumaliza chuo. ambapo mazingira yake si mazuri sana coz pako busy sana. Sasa naomba ushauri kwa anayefahamu terms zao ili zinisaidie kwa maamuzi. natakiwa kuriport kzini March na kusaini mkataba.
Natanguliza shukrani

Hongera. Tafuta mdada mzuri hapochuo mdenti uoe ili upunguze tamaa kwa wadogo zetu. Msalimie Mteketa Mbunge na Wape Pole kwa Msiba wa Mwenyekiti wa Halmashauri
 
Hongera. Tafuta mdada mzuri hapochuo mdenti uoe ili upunguze tamaa kwa wadogo zetu. Msalimie Mteketa Mbunge na Wape Pole kwa Msiba wa Mwenyekiti wa Halmashauri
JF vituko sana. Jamaa kaomba ushauri wewe unamwambia a du dadaz!
 
nasikia pazuri na kama una experience ya kufanya kazi kwa wakatoliki haina shida.
 
kwaniwakati unaomba kazi hukupewa job description? kaangalie kwanza job description and then fanya kazi mwanangu
 
Watu bw. Siye tunatafuta kazi wengine wanaacha na kupata haraka nyingine,hongera bw

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
he u need to be confident, kama ulipita interview inamaanisha unajua. nakama wamekuita wanatakiwa wakueleze taratibu zao za kazi wenyewe.
 
nadhani huko ulipoacha umemuweka mdogo wako sidhani kama unashndwa kufanya hvyo maana unaonekana channel yako cyo mchezo maana unapata kazi pamoja na mkeo sehemu moja ww noma.
 
nadhani huko ulipoacha umemuweka mdogo wako sidhani kama unashndwa kufanya hvyo maana unaonekana channel yako cyo mchezo maana unapata kazi pamoja na mkeo sehemu moja ww noma.
hahahahahahahaha hiii ndo tanzania kila kitu kinawezekana...wanafaulu wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika sembuse hili...?alaaaaaah
 
Back
Top Bottom