mutu mrefu Member Joined Dec 28, 2013 Posts 92 Reaction score 23 Jun 30, 2014 #1 Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
S Showme JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 1,257 Reaction score 505 Jun 30, 2014 #2 Hongera mkuu,laki mbili!!. mutu mrefu said: Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea. Click to expand...
Hongera mkuu,laki mbili!!. mutu mrefu said: Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea. Click to expand...
Kufa c mwiko JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 756 Reaction score 322 Jun 30, 2014 #3 tupia picha.
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Jun 30, 2014 #4 Masikhara hayo, Laki 2 hata guta hupati sembuse gari?
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jun 30, 2014 #5 Laki mbili ni kwa ajili ya matairi?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,469 Jun 30, 2014 #6 Subiri kuanza kuiuza kama scrapper
M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,114 Reaction score 5,114 Jun 30, 2014 #7 Kama ullikuwa na mke mmoja tangaza kabisa kuwa umeoa mwingine wa pili.Heri ingekuwa pick up lakini ya kutembelea,mmh
Kama ullikuwa na mke mmoja tangaza kabisa kuwa umeoa mwingine wa pili.Heri ingekuwa pick up lakini ya kutembelea,mmh
T Timmy Mazimba Member Joined Jun 22, 2014 Posts 20 Reaction score 2 Jun 30, 2014 #8 mutu mrefu said: Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea. Click to expand... Ilo gari au baiskeli?,kuwa makini ndugu.
mutu mrefu said: Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea. Click to expand... Ilo gari au baiskeli?,kuwa makini ndugu.
B buso Member Joined Mar 8, 2014 Posts 54 Reaction score 22 Jun 30, 2014 #9 Simu yako itajaa namba za mafundi magari tu.
N Nguto JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,668 Reaction score 1,797 Jun 30, 2014 #10 Utalitengeneza kwa milioni 15. Nobody will sell a good car even if it is old!!!! Litatembea mpaka nyumbani kwako baada ya hapo shughuli!!! mutu mrefu said: Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea. Click to expand...
Utalitengeneza kwa milioni 15. Nobody will sell a good car even if it is old!!!! Litatembea mpaka nyumbani kwako baada ya hapo shughuli!!! mutu mrefu said: Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea. Click to expand...
s.crony JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 1,286 Reaction score 465 Jun 30, 2014 #11 Hongera sana gari lako hili.....
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,074 Jun 30, 2014 #12 nawashangaa mnaoshangaa! mbona ni kawaida sana, hicho kigari we kifanyie detailing uuze milioni tatu. karibu mjini.
nawashangaa mnaoshangaa! mbona ni kawaida sana, hicho kigari we kifanyie detailing uuze milioni tatu. karibu mjini.
B bcsolution JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 394 Reaction score 177 Jun 30, 2014 #13 s.crony said: Hongera sana gari lako hili.....View attachment 167946 Click to expand... Hehehehe full tetenasi....
s.crony said: Hongera sana gari lako hili.....View attachment 167946 Click to expand... Hehehehe full tetenasi....
mutu mrefu Member Joined Dec 28, 2013 Posts 92 Reaction score 23 Jun 30, 2014 Thread starter #14 Mnyamwezi wa Urambo said: Masikhara hayo, Laki 2 hata guta hupati sembuse gari? Click to expand... Kweli mkuu Mnyamwezi wa Urambo
Mnyamwezi wa Urambo said: Masikhara hayo, Laki 2 hata guta hupati sembuse gari? Click to expand... Kweli mkuu Mnyamwezi wa Urambo
mutu mrefu Member Joined Dec 28, 2013 Posts 92 Reaction score 23 Jun 30, 2014 Thread starter #15 CYBERTEQ said: nawashangaa mnaoshangaa! mbona ni kawaida sana, hicho kigari we kifanyie detailing uuze milioni tatu. karibu mjini. Click to expand... Asante mkuu
CYBERTEQ said: nawashangaa mnaoshangaa! mbona ni kawaida sana, hicho kigari we kifanyie detailing uuze milioni tatu. karibu mjini. Click to expand... Asante mkuu
B bunited JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 815 Reaction score 216 Jun 30, 2014 #16 hiyo siyo gari ni frem umepata.fanya mpango wa kutafuta eneo la kuweka na biashara.
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Jun 30, 2014 #17 Itakuwa ile iliyotelekezwa na majambazi
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Jun 30, 2014 #18 Unatokea wilaya gani? Kama ni Bukoba basi utakuwa unamaanisha Baiskeli manake kule baisikeli huitwa GARI!!!! Sent from my iPhone using JamiiForums app
Unatokea wilaya gani? Kama ni Bukoba basi utakuwa unamaanisha Baiskeli manake kule baisikeli huitwa GARI!!!! Sent from my iPhone using JamiiForums app
K kiboko ya makonde Member Joined Jun 26, 2014 Posts 48 Reaction score 15 Jun 30, 2014 #19 huo ni msiba na jamaa aliyekuuzia anarukaruka kwa kuwa kapunguza hedeki
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Jun 30, 2014 #20 nyie mnambishia mwezenu hamjamuuliza hilo gari la lakin mbili kwa matumizi gani, mnafikiri kila gari ni lakutembelea tu, magari yana matumizi mengi bwana.
nyie mnambishia mwezenu hamjamuuliza hilo gari la lakin mbili kwa matumizi gani, mnafikiri kila gari ni lakutembelea tu, magari yana matumizi mengi bwana.