Nimepata fursa ya kwenda kujitolea Ughaibuni

Nimepata fursa ya kwenda kujitolea Ughaibuni

ntabudjo

Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
70
Reaction score
69
Habari za weekend wadau,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimepata fursa ya kwenda England kujitolea katika nyanja mbali mbali kwa muda wa mwaka mmoja.

Kwa mwenye uzoefu wa haya mambo aje anipe ushauri nikienda huko mambo gani ya msingi nifanye ili safari yangu iwe ya mafanikio ya kiuchumi.
 
habari za weekend wadau
kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimepata fursa ya kwenda england kujitolea katika nyanja mbali mbali kwa mda wa mwaka mmoja

kwa mwenye uzoefu wa haya mambo aje anipe ushauri nikienda huko mambo gani ya msingi nifanye ili safari yangu iwe ya mafanikio ya kiuchumi
Ungesema umepata nafasi ya kujitolea katika field ipi ili wadau wakushauri vema.

Sasa kama unasema kujitolea tu in general, nani anajua unaenda kujitolea kwenye mambo ya 0713? Ambayo England ni Kinara wa kuyasapoti?
 
aahhh napelekwa na taasisi ya kidini kwa hiyo naenda kujitolea katika nyanja mbali mbali za ujasiliamali kujifunza utamaduni wao pia kuangalia fursa mbali mbali za kiuchumi
 
Please nisaidie hiyo nafasi umeipata vipi na mimi nitafute please 0755389642
 
Back
Top Bottom