nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Hoyo ndiyo shida ya kuoa huku ukitarajia pesa ya mkeo.Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi yote nagaramia mm, mke wangu pesa yake anaiweka kwenye investments tu, utasikia kanunua kiwanja, kapanua biashara yake, kaanza ujenzi n.k..
Kinachoniuma mm pesa yangu yote naenda kwenye matumizi ya familia na yakwako naenda kwenye maendeleo ya familia
Sasa kwa marafiki niliowashirikisha situation yangu wengi wananiambia umepata mke mwenye akili ya maisha,wengine wananiambia Nimekwisha!.. Nawasilisha naomba mawazo yenu (Tuepuke matusi na kejeli)
Badala ya kutafuta pesa kakaa kusikiliza manenoKazi ya pesa ya mwanaume ni kuhudumia familia, full stop...
Na unaandika kuwa mara utasikia kafanya hiki, kafanya kile...je, huwa unasikia toka kwa nani?
Wrseaerrereaqe3wrwdewWadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi yote nagaramia mimi, mke wangu pesa yake anaiweka kwenye investments tu, utasikia kanunua kiwanja, kapanua biashara yake, kaanza ujenzi n.k.
Kinachoniuma mimi pesa yangu yote inaenda kwenye matumizi ya familia na yakwako inaenda kwenye maendeleo ya familia. Sasa kwa marafiki niliowashirikisha situation yangu wengi wananiambia umepata mke mwenye akili ya maisha, wengine wananiambia Nimekwisha!.. Nawasilisha naomba mawazo yenu (Tuepuke matusi na kejeli)
Wanawake ni watu wabinafsi sana, kuishi tunaishi sote lakini gharama za maisha nigharamie mie how??? Hivi wanawake washawahi jiuliza, ukiachana na sex (ambayo wote tunatamuka) wana mchango gani katika maisha ya ndoa????Wadau mwaka 2017 nilifunga ndoa na mpenzi wangu F niliyedumu naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, Nadhani sikufanikiwa kumjua kwa undani kiivyo! Jambo linalonitatiza sana ni ishu ya pesa, mke wangu hawezi kutoa hata 100 kununua chumvi, mambo yote ya chakula, Ada,Kodi ya pango na matumizi yote nagaramia mimi, mke wangu pesa yake anaiweka kwenye investments tu, utasikia kanunua kiwanja, kapanua biashara yake, kaanza ujenzi n.k.
Kinachoniuma mimi pesa yangu yote inaenda kwenye matumizi ya familia na yakwako inaenda kwenye maendeleo ya familia. Sasa kwa marafiki niliowashirikisha situation yangu wengi wananiambia umepata mke mwenye akili ya maisha, wengine wananiambia Nimekwisha!.. Nawasilisha naomba mawazo yenu (Tuepuke matusi na kejeli)