Jifunze,ndoto haisimuliwi hovyohovyo tu,tafuta mjuzi wa kweli akuagulie ndoto yako,kwasababu unaposimulia ndoto kwa wasio na elimu ya ndoto watakavyotafsiri hata kama ni uongo mara nyingi hutokea kweli na pengine ikawa na tafsri ya madhara(hii nimeitoa kwenye mafundisho ya uislamu kuhusu katazo la kusimulia watu ndoto kiholela)