min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,664
- 131,660
Siishi kwa maandiko kiongoziDuh
Duh
Maandiko ya wapi haya mtumish
Siishi kwa maandiko kiongoziDuh
Duh
Maandiko ya wapi haya mtumish
Hiyo elimu umeitoa wapi mtumishSiishi kwa maandiko kiongozi
Kabla hujazulika katika jambo lako MUNGU atakutumia malaika akujuze kitakachotokea itoshe kusema hapo sipo salamaMwanamke niliyeanza nae mahusiano nimeota akiwa ndani kwangu amebadilika akawa nyoka anakimbilia chini ya ya mto wa kitanda na kujificha
Penzi bado bchi na nlikuwa na mpango wa kumuowa
Hi sijui ni tahadhari au ni ndoto tu ya kawaida
Nyoka ndie aliewadanganya Adam na Eva pale bustanini wakala tunda walilokatazwa na Mungu,Mwanamke niliyeanza nae mahusiano nimeota akiwa ndani kwangu amebadilika akawa nyoka anakimbilia chini ya ya mto wa kitanda na kujificha
Penzi bado bchi na nlikuwa na mpango wa kumuowa
Hi sijui ni tahadhari au ni ndoto tu ya kawaida

Mpaka uongee na roho mtakatifuYapoje hayo macho?