Nimeota ndoto ya ajabu sana

Nimeota ndoto ya ajabu sana

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,693
Reaction score
13,321
Mwanamke niliyeanza nae mahusiano nimeota akiwa ndani kwangu amebadilika akawa nyoka anakimbilia chini ya ya mto wa kitanda na kujificha

Penzi bado bchi na nlikuwa na mpango wa kumuowa

Hi sijui ni tahadhari au ni ndoto tu ya kawaida
 
Ngoja waje
 
kuna wengine tukiota nyoka Kuna mambo kadha ya kuumiza sijui roho yanatukumba. mpk ilabidi kuuliza wakubwa nao wakasema hivyohivyo na wao huwa wanaota na inamaanisha uadui fulani hivo.

jaribu kumchunguza Dem.

chunguza mto, godoro pia ukute umewekewa makituz ili kijana uoe...wadada wanatafuta ndoa kwa udi na uvumba hehehehe
 
Mwanamke niliyeanza nae mahusiano nimeota akiwa ndani kwangu amebadilika akawa nyoka anakimbilia chini ya ya mto wa kitanda na kujificha

Penzi bado bchi na nlikuwa na mpango wa kumuowa

Hi sijui ni tahadhari au ni ndoto tu ya kawaida

Fursa hii, changamkia mteme haraka
 
Duh
Tatizo mmekaririshwa nyoka alimdanganya Eva ndio maana unakuta mtu anatafuta nyoka auwe tu🤣 nyoka ni ishara ya mamlaka utajiri na uponyaji 🤣🤣🤣
Duh

Maandiko ya wapi haya mtumish
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom