Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,190
- 5,045
Wakuu tumtakie kheri na amani ndugu T.A.M LISSU mnyampaa ambaye amekataa kuhongwa ili asaliti nafsi yake na watanganyika ili tupate haki.
Usku wa kuamkia leo nimeota ndoto nipo kwenye tukio la watu wengi sana eneo moja lakini ukatokea wizi kwny chumba ninachokaa na wenzangu nikaibiwa vitu baadhi hilo likapta.
Mara nyngne tena nikaibiwa vitu vyote yan nikabaki na nguo nlizovaa tu kilichonishangaza akatokea dogo mmoja mtoto wa aunt yng kuna ktu alinambia skumbuki halafu akaondoka zake.
Na huyu dogo ni miongon mwa watu waliowahi nivurugia mambo yng ikiwemo mpk uhusiano wng na mzee wangu sina maana nina mtuhumu hapana ila nilishangaa tu kumuona kwny hili tukio.
WAKUU NAOMBENI MAONI YENU NI NN MAANA YAKE?