Amen kiongozi nitafanya hivyoAisee kuongelea biblia mwisho mwaka 2000 na umekumbuka mstari wa ndotoni. Mm hata saiv uniambie huo mstari nikisoge mbele sikuumbuki. Sijisifii ila nakupa hongera.
Hiyo ndoto imekukumbusha acha ujinga mfate Mungu wako.
Isikilize sauti iliyo ndani yakoNimeota usiku mkuu, hukusoma hapo juu? Nimeandika usiku wa kuamkia leo.