FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,876
- 44,926
Katika hali iliyonishangaza sana, usiku wa kuamkia leo nimeota eti kwamba ajira nyingi sana zitatolewa mnamo July 2019, nilishtuka kiasi nikaamka ghafla, ni hayo tu.
Hahahahaaaa kuna kijana mwenzangu alinambia hiyo habari toka mwaka Jana sasa watanzania kazi kwetuKatika hali iliyonishangaza sana, usiku wa kuamkia leo nimeota eti kwamba ajira nyingi sana zitatolewa mnamo July 2019, nilishtuka kiasi nikaamka ghafla, ni hayo tu.
Its possible.., maana ndoto haikuwa very clear..Sio July 2020 miezi mitatu kabla ya uchaguzi mkuu?