Nimeona mengi, wewe umeona nini?

Nimeona demu wa darasa la saba mwenye kalio anajiamini kuliko yule wa degree asiye na kalio.

Hili hasa limenishangaza πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Nimeona wife anachepuka narud hom anazingizia kachelewa kazini nimeona jamaa karoga ili afanikiwe kalazwa kwenye ka buri usiku kucha na mganga matoke yake mpaka sasa hata buku inamgonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…