Nimeomba transfer bila kujua msaada please

Nimeomba transfer bila kujua msaada please

Joined
Oct 13, 2016
Posts
94
Reaction score
21
Habari za wakati wana JF,

Nilichaguliwa.ualimu elimu ya msingi mwalimu nyerere memorial academy nilitaka kuhama kulingana na jinsi tunavyo fundishwa kidigree zaidi wakati hatuendani lakini nikajikuta nimeishafanya registration

Lakini jana wakati nimeingia profile ya NACTE nikakuta transfer request nikaclick ikakubali chuo nikajaza bustani then ikaniletea confirm nikajua itagoma kwa sababu sijaliipia cha kushangaza wakanitumia SMS ombi langu limepokelewa nitajulishwa ndani ya saa 48 toka tarehe 21

Hapa nawaza na niliishaanza masomo Mwalimu Nyerere
Duuh pressure inapanda inashuka
 
Pole, utundu wako...
Nenda ofisi ya admission hapo MNMA uulize, nina imani watakusaidiaaaaa...
 
naombeni msaada jamani me nlipangwa chuo cha maendeleo ya jamii Ruaha Iringa nkatransfer kozi name chuo nkaomba community health kwenda Kibosho School of Nursing but nlikua cjachek ada ya Kibosho sasa nataka kufanya transfer kwenda chuo cha government inagoma nkaambiwa niende makao makuu Nacre Northern Zone Arusha. ,nimeenda nao pia wananiambia haiwezekan kufanya transfer zaid ya Mara moja ASA cjui walkua wanataka kitu kidogo name died line Tatar systeam ishafungwa mwingne kanambia niende nacte makao makuu Dar jamn naomben ushaur name vyuo vishafunguliwa pls asanteni
 
Transfer huwa inafanyika Mara moja tu na hawana msaada sababu tayari system imefungwa hata ndugu yangu yamemkuta hayo system ikifungwa ndo basi tena
 
Back
Top Bottom