Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

WASI WASI NDIO AKILI!

Mshukuru aliekuumba amekupa uwezo wa kupembua kabla ya kutenda! Hujachelewa sana, piga magoti au kaa chini au simama au lala (maamuzi yako) Mshukuru Muumba wako kwa kukupa nafasi ya kujiokoa kwenye mtego, muombe akupe nguvu ya kusimama Imara dhidi ya NAFSI YAKO, mwambie mume wako ukweli husimfiche hata akikasirika mkumbushe kisa cha ADAMU na HAWA/EVA kwanini Ibilisi alimfuata mwana mke kumpa tunda la mtz wa kati na kwanini hiyo ndio dhambi iliyozaa umauti, muombe sana akusaidie maana hatukuumbwa mwanamke na mwanaume ila tu TUSAIDIANE KUKAMILISHA UUMBAJI!

Mwanaume bila Mwanamke hajakamilika na Mwanamke bila Mwanaume hajakamilika, kinachotuunganisha ni TENDO LA UUMBAJI (uzima na kifo) kama mume wako hakusaidii katika hili (au HAMSAIDIANI/HUMSAIDII) kukufikisha utakapo utapatwa na mitihani njia yote ya Maisha yako na ndo mtihani mkubwa kwetu Viumbe tangu kuumbwa(Ili maneno yatimie)!!

**Pole sana SALI SANA!!
 
Unacho penda kwahuyo kichaa NI ukubwa wamashine na ukubwa wakichwa chamashine basi MPE atakusugua mpaka hiyo nani iwake moto siunajua kichaa anasiku nyingi haja do ...kua naakili acha utoto usimsaliti mmeo niaibu kukamatwa ugoni ukiwa na kichaa.
 
Sasa mke wangu umekuja kuandika huku ili iweje? Kumbe unamtamani yule chizi pale kwetu....kesho tukitoka kazini tukutane kwa mchungaji. Umenidhalilisha sana.
 
Achana na mpango wako huo wakumtamani kichaa nakwambia siku ukitembea nae hutatamani uachane nae wanajua kufanya hao viumbe hatariiiii siku zote atakuwa anakuja umpe afu wanat..mba kama mbwa wana nguvu balaa miti yao huwa haishuki akipanda amepanda .
 
Badili njia unayopitia kwenda na kurudi nyumbani na kazini.

Upo mtegoni, acha tamaa!
 
Nahisi mumeo atakuwa na kibamia sasa umeutamani mshedede wa kichaa
 
We n bongo movie unajaribu kutafuta script kutoka ktk mawazo yetu, soon tutapata movie hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…