mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 206
Hahahaa mkuu wewe ndio yule msamalia mwema? Anyway ngoja aje humu jf kutafuta simu yake utampa.
Huyu jamaaa anaweza kuwa ana busara sana au hizi cm za kisasa mwenyewe mfano IPhone zina kitu inaitwa Icroud , ukipoteza simu unai lock na una uwezo wa kuijua popote ilipo ht km ni shimoni, km ni cm ya gharama mwenyeww atai trace na kuifuata kwako mkuu, ukiweka line nyingine atakupigia maana ana uwezo wa kujua number inayotumika kwny cm yake
Usitufanye watoto bana. Hiyo iliwezekana Tanganyika ya mwaka 1870 sio leo hii tunaporana mkononi mchana kweupe ati leo uokote halafu umtafute aliyepoteza. Labda kama ni masharti ya mganga wako........
Is this a joke or something!? Kama una nia ya dhati kurudisha simu ya watu, angalia calls humo au namba yote upige na meseji itamfikia mwenye simu ns ataelekezwa jinsi ya kukupata. Una assume kila mTZ anakuja JF?
Usitufanye watoto bana. Hiyo iliwezekana Tanganyika ya mwaka 1870 sio leo hii tunaporana mkononi mchana kweupe ati leo uokote halafu umtafute aliyepoteza. Labda kama ni masharti ya mganga wako........
Ni sio iPhone mkuu,nlijaribu kuweka line yake kwenye Simu yangu ili nipate namba ya mtu wa karibu yake,lakini nkagundua kuwa amei block line yake,kwa hiyo hakuna namna yoyote ya kuwasiliana na watu wake wa karibu,nimekuja Hulu nikiamini kwamba wasomi wengi ni members wa jf,pengine nawezampata mmiliki,nisipompata basi!!!
Kama sio smartphone basi gharama yake sio kubwa sana km ulivoainisha kwny uzi wako, simu za kawaida bei haizidi laki moja...uliposema simu ya gharama sana mawazo yangu yaligota kwny iPhone 6...
Hahahaa mkuu wewe ndio yule msamalia mwema? Anyway ngoja aje humu jf kutafuta simu yake utampa.
Ni yangu ila nimeshanunua ingine so ipotezee tu hiyo au wape mafundi waitumie kama spair.