Nimeokota simu maeneo ya chuo UDSM,mwenye kudhani ni yake aniPM

Katika pita pita zangu maeneo ya Chuo (Udsm),nkaokota Simu ya gharama sana tu,nlipojaribu kumpigia mmoja wa watu waliomo kwenye simu yake ili nimuelekeze nilipo,simu ilizima charge,baadaye nilitoa lainikwenye simu yake ili niweke kwenye simu yangu na kuwatafuta watu wa karibu yake,nkaambiwa registration failed,nadhani aliamua kui block line kwa usalama wa Mali zake (kama zipo kwenye line),na mimi nataka kumrudishia simu yake coz najua Ana ihitaji sana tu,ni simu ya bei ghali sana tu,kwa hiyo kama mtu mwenye simu hii yupo humu,ani pm,anielezee particulars za simu yake,na maeneo aliyopotezea simu yake,ntamrudishia simu yake,please usinitafute kwa udanganyifu,ukifanya hivyo ntakusweka lock up!!!!

Duh sasa hayo mambo ya kuswekana lock up yanatuogopesha wengine hata kama tumepotelewa kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom